<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>116</hymn_number>
<title>Bwana U Sehemu Yangu TZR116</title>
<lyrics>[V1]
 Bwana u sehemu yangu, rafiki yangu wewe;
 Katika safari yangu, tatembea na wewe;
 Pamoja na wewe, pamoja na wewe,
 katika safari yangu, tatembea na wewe.

[V2]
 Mali hapa sikutaka, ili niheshimiwe,
 na yanikute mashaka, sawa sawa na wewe.
 Pamoja na wewe, pamoja na wewe,
 heri nikute mashaka sawasawa na wewe.

[V3]
 Niongoze safarini, mbele unichukue,
 mlangoni kwa mbinguni, niingie na wewe.
 Pamoja na wewe, pamoja na wewe,
 mlangoni kwa mbinguni, niingie na wewe.</lyrics>
</song>